Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe, akisoma taarifa ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii, iliyoandaliwa mahususi kuelekezwa katika Wizara ya Elimu, ambayo imewasilisha bajeti yake Bungeni hapo na Waziri wake Profesa Joyce Ndalichako, amepinga vikali kitendo cha Serikali kuhamisha baadhi ya walimu walokuwa wakifundisha shule za sekondari kurudishwa kufundisha shule za msingi.
MSIKIE BASHE AKITOA POVU LAKE HAPA
Comments are closed.