The House of Favourite Newspapers

Basi la Kampuni ya Majinjah Lapata Ajali Mbeya

Basi la Kampuni ya Majinjah ambalo lilikuwa likitoka Kyela jijini Mbeya kuelekea Dar es Salaam leo Novemba 5, 2019 limepata ajali maeneo ya Kitonga. Mashuhuda wanadai chanzo cha ajali ni kufeli kwa breki za basi hilo.

RPC Iringa amesema tayari RTO ameelekea eneo la tukio na baadae watatoa taarifa kwa undani.

Comments are closed.