The House of Favourite Newspapers

Basi la Msukuma Lapata Ajali Buhalahala Geita

BASI lla Msukuma ambalo linamilikiwa na Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, limegongana na uso kwa uso na gari dogo lenye namba za usajili T907 DLG katika eneo la Buhalahala mkoani Geita.

Kamanda wa Polisi, Mponjoli Mwabulambo amedhibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akusema bado hajapata idadi ya majeruhi  na kama kuna watu waliopoteza maisha.

Muonekano wa basi la Msukuma (lililoanguka) linalofanya safari mkoani Geita baada ya ajali katika eneo la Buhalahala. Geita.
Taswira ya gari dogo lenye namba ya usajili T 907, DLG baada ya kupata ajali.
Mwonekano mwingine wa gari dogo.
Wananchi waliofika kwenye eneo la ajali.

Comments are closed.