BASI LA PREMIER EXPRESS LAPATA AJALI MBEYA

 

Muonekano wa Basi la Premier baada ya kupata ajali.

Basi la Premier lilokuwa likitoka Mbeya kuelekea Mwanza, leo Juni 16, 2019 limepata ajali maeneo Uyole Mbeya baada ya kugongana na gari ndogo aina ya Noah lilokuwa likiendeshwa na mama ambaye hakutambulika jina lake amepata majeraha. Chanzo cha ajali hiyo mwendokasi pamoja na kuovertake.

Katika ajali hiyo abiria waliokuwa kwenyegari kubwa hawajapata majeraha zaidiya mama aliyekuwa anaendesha gari dogo aina ya Noah.

Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa Tanzania Regional Bus (TRB) kupitia ukurasa wao wa Instagram.

Muonekano wa gari ndogo aina ya Noah baada ya kupata ajali.

Polisi wakiwa katika eneo la tukio.


Loading...

Toa comment