Hongera Beatrice kufanikisha mpango wako.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya amehitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Masuala ya Biashara (Masters ya Business Administration) kutoka Chuo cha Kimataifa cha ESAMI (The Eastern and Southern African Management Institute) ambacho makao makuu yake yapo Arusha Tanzania.