BEATRICE SINGANO ALIVYOTUNUKIWA MASTERS (MBA)

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya baada ya kuhitimu na kutunukiwa Masters ya Business Administration katika Chuo cha The Eastern and Southern African Management Institute. 

Hongera Beatrice kufanikisha mpango wako.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano Mallya amehitimu na kutunukiwa Shahada ya Uzamili ya Uongozi katika Masuala ya Biashara (Masters ya Business Administration) kutoka Chuo cha Kimataifa cha ESAMI (The Eastern and Southern African Management Institute) ambacho makao makuu yake yapo Arusha Tanzania.

 

Usipitwe na Matukio, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers

Android ===>Google Play

iOS ===>Apple Store

Loading...

Toa comment