The House of Favourite Newspapers

Bei za Petroli na Dizeli Zapanda Kutumia Kunzia leo Jumatano Mei 3, 2023

0

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza bei mpya za mafuta zitakazotumika kuanzia leo Jumatano, Mei 3, 2023 huku bei ya petrol na dizeli zikipaa ikilinganishwa na mwezi Aprili.

Bei ya petroli na dizeli iliyopokelewa kupitia Bandari ya Dar es Salaam imepanda kama ifuatavyo;

Petroli: TZS 90/lita

Dizeli: TZS 24/lita

Bei ya mafuta ya taa imepungua kwa TZS 99/lita.

Leave A Reply