Beka Flavour Ameileta ‘Finally’ Video Mpya
Msanii aliyekuwa analiunda kundi la Yamoto Bandi Beka Flavour amekuja na video yake mpya Finally ya kwanza kwa mwaka 2019.
Video imefanywa Tanzania na imeongozwa na Hascana.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa, ingia Global App na kama huja-install, tumekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.