The House of Favourite Newspapers

Bella: Kila nikibeba mimba za Kalama zinatoka

0

ISABELA.pngHamida Hassan

Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amesema kuwa kila anapotega ili apate mimba ya mchumba wake, Karama Bakari ‘Luteni Karama’ zinatoka kitendo ambacho kinamkosesha sana amani.

Akizungumzia maisha yake ya kimapenzi kwa sasa, Bella mwenye watoto wawili wakubwa alisema amekuwa akihangaika kuhakikisha anazaa na mpenzi wake huyo lakini ndoto zake zimekuwa zikiyeyuka kwa kuharibika mimba.

“Yaani watu wanahisi sipendi kumzalia Karama hasa wale wanaokuwa karibu na mimi lakini ukweli hawaujui, mimba zimekuwa zikiharibika lakini naamini siku moja ndoto yangu itatimia,” alisema Bella anayetamba na wimbo uitwao Mimi alioimba na Baby Madaha wakimshirikisha Dully Sykes.

JIUNGE NA GLOBAL BREAKING NEWS!

globalbreakingnews.JPG

Leave A Reply