The House of Favourite Newspapers

Ben Pol Atinga na Tausi Stejini Fiesta

0
Mkali wa Bongo Fleva, Ben Pol, akifanya yake stejini na muigizaji na mchekeshaji kwenye tasnia ya Bongo Movie, Tausi,  usiku wa kuamkia tamasha la Fiesta Leaders Club jijini Dar.
Ben Pol akimuimbia mameno matamu Tausi.
Tausi akicheka baada ya kusifiwa na Ben Pol.
Wakicheza kwa pamoja.
Wakiwa wamekumbatiana.
Tausi akimpa ua Ben Pol.
Ben Pol akimtaka Tausi atembee mwendo wa taratibu.
Wakiserebuka katika mtindo mmoja.

Msanii wa Bongo Fleva, Ben Pol, ametinga stejini na msanii wa Bongo Movie, Tausi, akiwa kavaa shela katika Tamasha la Fiesta 2017 lililofanyika Leaders Club usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.  Wasanii hao waliwasisimua mashabiki kwa kuimba na kucheza kama mke na mme.  Mashabiki waliwashangilia kwa staili walioibuka nayo.

(PICHA: MUSA MATEJA/GPL)

Leave A Reply