Video Mpya Ya Ben Pol na The Mafik, ‘Sio Mbaya’ Wolper Ndani
Msanii wa R&B Ben Pol akiwa na Kundi bora la The Mafik, wameileta video ya wimbo wao mpya, ‘Sio Mbaya’
Jacline Wolper ameonekana ndani ambaye ni video vixen.
Video imeongozwa na Kwetu Studio
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Itazame hapa.
Comments are closed.