New Song: Ben Pol, Mr Eazi – Phone (Official Audio)

Huwenda mwaka 2017 ukawa mwaka wa burudani zaidi kutokana na mastaa wengi wa muziki kuuanza vyema mwaka kwa kuachia ngoma kali walizokuwa wameziandaa kama ngoma za kuufungulia mwaka.

Global Publishers inakusogezea ngoma hii ya Ben Pol aliyomshirikisha Mr Eazi aliyoipa jina la Phone. Ikiwa bado ya moto kabisa, sasa unaweza kusikiliza hapa.


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment