Benki ya NBC yaendelea kusogeza huduma karibu na wateja

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (kushoto), akishikana mikono na Mkurugenzi wa Wateja wakubwa Benki ya NBC, Linley Kapya huku pembeni yao akiwa  Meneja wa Tawi la NBC Arusha, Mirage Msuya. 

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Gabriel Daqarro (wapili kushoto), akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Linley Kapya .

Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa Benki ya NBC, Linley Kapya (wa pili kushoto) akishikana mikono na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega katika hafla iliyoandaliwa na benki hiyo kwa wateja wake jijini Arusgha hivi karibuni. 

Mkurugenzi wa Wateja Wakubwa wa Benki ya NBC, Linley Kapya (katikati) akizungumza na baadhi ya wateja katika hafla waliyowaandalia jijini Arusha hivi karibuni kwa lengo la kufahamiana na kupata mrejesho wa huduma wanazopewa na benki hiyo.

 


Loading...

Toa comment