The House of Favourite Newspapers

Benki ya NMB Plc Yatoa Vifaa Tiba vya Msaada Zahanati ya Kimara Dar

0


Mganga Mfawidhi Zahanati ya Kimara, Dk. Alphoncina Mbinda (kushoto) akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo. Miongoni mwa mashine zilizotolewa ni pamoja na mashine ya kupimia joto la mgonjwa, mashine 10 za kupimia ‘BP’ kwa mgonjwa, mashine 10 za kupimia mapigo ya moyo, mzani wa kupimia uzito na urefu kwa wagonjwa, vifaa vya kukusanyia taka, spika na kipaza sauti chake pamoja na mashine nyingine za kisasa kwa ajili ya vipimo anuai kwa wagonjwa.
Dk. Alphoncina akipokea baadhi ya mashine za kupimia mapigo ya moyo kwa mgonjwa kutoka kwa Meneja Uratibu wa NMB Plc, Thomas Kilongo.


Dk. Alphoncina akitoa neno la shukrani kwa Benki ya NMB Plc mara baada ya kukabidhiwa mashine mbalimbali pamoja na vifaa vya kutibia wagonjwa katika Zahanati hiyo. 

Leave A Reply