The House of Favourite Newspapers

Benki ya NMB Yazidua Rasmi Tawi la Sumbwanga

0

????????????????????????????????????

Waziri mkuu mstaafu, Mh. Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Said Magalula, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa (wa tatu kulia), Meneja wa NMB Kanda ya Nyanda za Juu, Lucresia Makirie wakishuhudia uzinduzi huo.

????????????????????????????????????

Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akiweka alama ya dole gumba alipokua akifungua akaunti ya NMB wakati wa uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ya uzinduzi wa tawi la NMB Sumbawanga ulifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kulia ni Afisa Mkuu wa wateja wakubwa wa NMB, Richard Makungwa akishuhudia. Tawi la NMB sumbawanga linakuwa tawi la 3 kwa mkoa wa Rukwa na la 176 nchini.

????????????????????????????????????

Waziri mkuu mstaafu Mhe.Mizengo Pinda akifungua pazia la jiwe la msingi na hivyo kuashiria uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Sumbawanga. Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki mjini Sumbawanga. Kulia ni Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa NMB, Richard Makungwa na kushoto ni Mkuu wa Mkoa Rukwa Said Mgalula akishuhudia. Tawi la NMB Sumbawanga linakuwa la 3 kwa mkoa wa Rukwa na la 176 nchini na hivyo kuifanya NMB kuwa na mtandao mpana zaidi wa matawi kuliko benki yoyote hapa nchini.

Leave A Reply