The House of Favourite Newspapers

Mirror, Baraka wafunika Maisha Basement

0

IMG_0347 IMG_0343

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Mirror akifanya yake ndani ya Maisha Basement usiku wa kuamka leo katika shoo ya Naogopa Tour.

IMG_0379

Baraka Da Prince (kushoto) na Mirror wakiimba wimbo wao mpya wa ‘Naogopa’.

IMG_0361

Mashabiki wakipata burudani ndani ya Maisha Basement.

IMG_0387

IMG_0397

Mwana – FA akiongea jambo na mashabiki.IMG_0380

Msanii wa Bongo Fleva, Mo Music, akiimba wimbo wake mpya wa Skendo.

IMG_0407

Msanii wa Bongo Fleva, Ali Kiba, akiwasalimia mashabiki.

IMG_0400

Barnaba Boy akifanya yake na mashabiki wake.

IMG_0442

Baraka akimlisha keki Wema Sepetu.

IMG_0448

…Akimlisha keki Ali Kiba.

IMG_0451

…Akimlisha keki Ommy Dimpoz.

IMG_0458

Barnaba Boy naye akipata keki.

IMG_0465

Meneja wa Burudani Maisha Basement, Hemed Kavu, HK (kulia) akilishwa keki.

IMG_0462

Mirror (kulia) akimwagia maji Baraka Da Prince.

IMG_0371

Mashabiki wakiendelea kupata burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali (hawapo pichani) ndani ya Maisha Basement.

JUMAPILI ya jana mastaa kibao wa muziki wa Bongo Fleva walihudhuria sherehe ya kuzaliwa kwa msanii Baraka Da Prince na Mwana-FA iliyofanyika katika Ukumbi wa Maisha Basement ulipo Kijitonyama jijini Dar.
Sherehe hiyo ilipambwa na burudani kutoka kwa wasanii Mirror, Mo Music, Ali Kiba, T.I.D, Ommy Dimpoz, Barnaba Boy na wengine kibao sambamba na burudani ya nguvu kutoka kwa DJ Ommy Craizy, Ally B na Tass.
(Habari/ Picha: Gabriel Ng’osha/ GPL)

 

Leave A Reply