The House of Favourite Newspapers

‘Bethidei ya Yemi Alade yahudhuriwa na mastaa kibao

0

Yemi-AladeMwimbaji nyota wa kike wa Nigeria, Yemi Alade.

Lagos Nigeria

MWIMBAJI nyota wa kike wa Nigeria, Yemi Alade, hivi karibuni alitimiza miaka 27 tangu azaliwe, ambapo aliangusha pati la kufa mtu lililohudhuriwa na mastaa kibao kama vile Tiwa Savage, Toke Makinwa na D’banj.

imageAkikata keki.

Yemi aliwatolea ‘machejo’ ya minenguo ya miziki yake ambapo naye bila shaka ataikumbuka siku hiyo vyema kwa kupewa zawadi mbalimbali kutoka kwa nyota wenzake na marafiki.

Leave A Reply