The House of Favourite Newspapers

Betting…Betting….Betting…..

SONY DSCSimba (Fc) na Azam (Fc) wanatarajia kukupiga leo katika Uwanja wa Amaan huko visiwani Zanzibar. Wewe kama shabiki unaweza kushiriki kubashiri matokeo ya mchezo huu. Unaweza kushiriki kubashiri kupitia Global Publishers Online na Facebook

 

azam-2

 

Chakufanya ni rahisi ‘comment’ matokeo yako kwa kuweka idadi ya mabao kwa kila timu. Mshindi atakuwani yule mtu wa kwanza kukomenti katika ukurasa wetu wa Facebook mabao ambayo yatakayowiana na matokeo ya uwanjani. Hivyo hivyo katika tovuti yetu, mtu wa kwanza kukomenti na matokea yakawa sawa na yale ya uwanjani atajishindia vocha ya Tsh 10,000/= ya mtandao anaoutumia.

Hii si ya kukosa!! weka matoke yako hapo chini ujishindie Tsh 10,000/=

 

 

Comments are closed.