The House of Favourite Newspapers

Bi. Kawawa ateuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Habari Maelezo

0

Kawawa

Bi. Zamaradi Kawawa.

Bi. Zamaradi Kawawa ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi Idara ya Habari Maelezo akichukua nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa idara hiyo, Assah Mwambene aliyehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa.

Kwa taarifa zaidi, soma hapa chini;

MWAMBENE

 

Leave A Reply