Bibi Maligo Daimon Akabidhiwa Nyumba ya Kuishi na Taasisi ya Tulia Trust

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amepongeza Bibi Maligo Daimon baada ya kukabidhiwa Nyumba ya kuishi na Chakula na Taasisi isiyo ya Kiserikali ya Tulia Trust ambayo Mkurugenzi wake ni Spika wa Bunge na Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson, makabidhiano hayo yamefanyika katika Mata wa Ilolo jijini Mbeya, Mei 11, 2024.