Bibi Wa Mwanaesha Amwaga Machozi, Ameona Comment Akisemwa Alimyanyasa Mjukuu Wake Hadi Akatoroka – Video
Bibi wa binti mdogo aitwaye Mwanaisha Manyori mwenye umri wa miaka 11 aliyetoroka nyumbani kwao kwenda kusikojulikana baada ya kukanywa, amemwaga machozi na kueleza kwamba hakuwa akimtesa mtoto huyo kama watu wanavyomtuhumu.
Kwa yeyote mwenye taarifa zinazoweza kufanikisha kupatikana kwa mtoto huyo, awasiliane na familia yake kwa simu namba: 0713 485 848