The House of Favourite Newspapers

Bilionea Anunua Mabao ya Luis

0

IMEFAHAMIKA kuwa, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ amewapa wachezaji wake Sh 250Mil baada ya ushindi wa mabao 3-0 walioupata dhidi ya Al Merrikh ya nchini Sudan.

 

Timu hizo zilivaana katika mchezo wanne wa hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika uliopigwa juzi KWA mara nyingine, Namungo FC imepoteza mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika mbele ya Pyramids ya Misri kwa kufungwa mabao 2-0.

 

Katika mchezo huo uliochezwa jana Jumatano kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, hadi kipindi cha kwanza kinakamilika, timu hizo zilikuwa hazijafungana.

Pyramids ambayo ilikuwa ikishambulia kwa mikakati mikubwa, ilifanikiwa kupata bao la kwanza dakika ya 71 kupitia kwa straika wao, Ramadan Sobhi.Bao hilo lilifungwa kwa mkwaju wa penalti baada Jumanne kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam.

 

Katika mchezo huo, ushindi wa Simba ulitokana na mabao ya Luis Miquissone, Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ na Chris Mugalu.

 

Timu hiyo imebakiwa na michezo miwili kumaliza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa sasa inaongoza Kundi A ikiwa na pointi 10.

 

Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, mastaa hao kabla ya mchezo huo walifanya kikao na bilionea huyo na kuwaahidi kuwapa kitita hicho cha fedha kama wakipata ushindi wa nyumbani.

 

Mtoa taarifa huyo alisema kuwa fedha hizo wameahidiwa kupewa ndani ya wiki hii mara baada ya timu hiyo itakaporejea kambini leo Alhamisi baada ya kumaliza mapumziko ya siku moja waliyopewa.

 

Aliongeza kuwa, bilionea huyo amepanga kutoa ahadi nyingine ya fedha katika michezo miwili iliyobaki dhidi ya AS Vita watakaocheza nyumbani, kabla ya kwenda kurudiana na Al Ahly huko nchini Misri.

 

“Kila mechi ina kiwango cha fedha ambacho Mo anakiweka kutokana na umuhimu wake, mchezo huu dhidi ya Merrikh alitoa ahadi ya Sh 250 kama wachezaji watafanikiwa kupata ushindi.“

 

Ahadi hiyo aliitoa kabla ya mchezo wakati timu ipo kambini, hiyo ni katika kuwapa morali na hali ya kujituma wachezaji hao ambao muda wowote watakabidhiwa fedha hizo.“

 

Katika kuelekea mchezo dhidi ya Al PRINCE Dube msimu huu amehusika katika mabao 13 kwenye Ligi Kuu Bara akifunga mabao nane na kutoa asisti tano katika mechi 18.AMISSI Tambwe aliibuka mfungaji bora wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2013/14 akiwa Simba.

YANGA na Simba, ndiyo timu zilizoshinda mechi nyingi msimu huu katika Ligi Kuu Bara ambazo ni 14 kila moja.

 

Ahly na AS Vita, bilionea ameongeza kiasi kingine cha fedha ambacho huenda kikaongezeka zaidi ya hiyo Sh 250Mil,” alisema mtoa taarifa huyo.

 

Mshauri wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Crescentius Magori, hivi karibuni karibuni alisema: “Bonasi tumekuwa tukiiweka katika kila mchezo na inakuwepo kulingana na ukubwa wa mechi, hiyo ni katika kuwaongezea morali wachezaji wetu.”

STORI: WILBERT MOLANDI, DAR ES SALAAM

Leave A Reply