The House of Favourite Newspapers

Bilionea wa Dunia Aanzisha Kampuni ya Kuzuia Kifo

0

BILIONEA namba tatu Duniani ambaye pia ni mmiliki na Mwazilishi wa Kampuni ya Amazon, Jeff Bezos amekusanya jopo la wataalam mahiri wa masuala ya afya duniani na kuunda kampuni (Alton Labs) kwa ajili ya kufanya utafiti wa kuzuia kifo.

 

Kampuni hiyo pia itajihusisha na tafiti za kuotesha viungo vya mwili, kuondoa maradhi yaliyoshindikana, mfano kansa na kupambana na majeraha makubwa.

 

Mbali na hilo pia tajiri huyo anamiliki kampuni ya Blue Origin ambayo, inampango kuunda kituo cha utalii katika anga za mbali/ nje ya dunia.

Leave A Reply