The House of Favourite Newspapers

BillNass ft MwanaFA – Wamepakua Video ya Ngoma Mpya Inaitwa Mazoea

1

bilnas-na-mwana-faIKIWA ni baada ya kufanya vizuri na wimbo wake wa Chafu Pozi, rapa BillNass ameachia video ya wimbo wake mpya aliomshirikishwa Mwana FA unaokwenda kwa jina la Mazoea.

Tazama video hiyo na kupakua hapahapa.

1 Comment
  1. Global Publishers says

    Good Combination!

Leave A Reply