Binti wa Mbowe Alivyodakwa Akitaka Kusepa na Bodaboda Leo
Mtoto wa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, aitwae Nicole hivi ndivyo alivyotaka kuondoka na bodaboda eneo la Magomeni Mapipa, Dar alipomaliza kuzungumza na wanahabari dakika chache baada ya baba yake kukamatwa na Jeshi la Polisi. Akiwa kwenye makubaliano na mwendesha bodaboda na tayari ameshapakia walimtaka ashuke na kuondoka nae.
HABARI/PICHA: RICHARD BUKOS /GPL