Biteko Awasili Arusha Apokelewa na RC Makonda, Kufungua Kongamano la Watalamu wa Ununuzi na Ugavi
Naibu Waziri Mkuu ja Waziri wa NishatiDkt. Doto Mashaka Biteko amewasili mkoani Arusha na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda kwenye Kiwanja wa Ndege Arusha Desemba 16,2024
Dkt. Biteko yuko mkoani Arusha kwa ajili ya Kufungua Kongamano la 15 la Watalamu wa Ununuzi na Ugavi linalofanyika kwenye kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha, ukumbi wa Simba Desemba 17,2024