The House of Favourite Newspapers
gunners X

Blac Chyna Aendelea na Viben-Ten ‘Under-20’

MWANAMITINDO maarufu wa Marekani,  Blac Chyna,  ameendelea na mtindo wake wa kuwa na washikaji wadogo chini ya umri wake — Viben-ten ambapo baada ya kuachana na kiseregenti cha miaka 18 sasa amekifuma cha miaka 19 ambacho ni bondia na amekuwa akitanua nacho kwa miezi sasa.

Chyna mwenye umri wa miaka 30 amenasa kwa bondia ‘mtoto’ Devin Haney.

Devin Haney (kulia).

Wawili hao walianza uhusiano miezi ipatayo mitatu iliyopita ambapo Chyna amesema amevutiwa naye kwa mambo mengi.

Comments are closed.