The House of Favourite Newspapers
gunners X

Bocco: Tutawafunga Biashara Leo, Kikosi Kipo Hapa

NAHODHA wa Simba, John Raphael Bocco, amesema wataendelea kupambana ili timu yao iweze kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu licha ya kuwa na ratiba ngumu.

 

Akizungumza na Championi Jumamosi, Bocco amesema: “Kwa sasa tunatambua kwamba tuko katika kipindi kigumu ambacho tunatakiwa kujitoa kwa ajili ya Simba, hivyo mimi pamoja na wachezaji wenzangu tutapambana ili katika kila mchezo tuweze kupata ushindi.”

 

 

Aidha Bocco amesema kuelekea mchezo wao wa leo Jumamosi dhidi ya Biashara United, wanaamini watapata ushindi kutokana na kuwa na kikosi kipana.

Kikosi ambacho kitaanza leo dhidi ya Biashara United

Comments are closed.