The House of Favourite Newspapers
gunners X

Bomoa bomoa Mwenge yawaliza wengi Dar

0

1.Tingatinga likiwa kazini kuvunja nyumba hizo zilizodaiwa kuwa ndani ya hifadhi ya barabara.Tingatinga likiwa kazini kubomoa nyumba zilizo ndani ya hifadhi ya barabara.
2.Vumbi likiwa limetanda eneo hilo.Vumbi likiwa limetanda eneo hilo.
3.Ulinzi ukiwa umeimalika vya kutosha eneo hilo la Mwenge lililokuwa likibomolewa.Ulinzi ukiwa umeimarishwa eneo la tukio.
4.Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wameduwaa baada ya kuvunjiwa nyumba zao.Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakiwa wameduwaa baada ya kubomolewa nyumba zao.
5.Baadhi ya wafanya biashara eneo hilo wakionekana kuokota baadhi ya vitu vyao vilivyovunjiwa ndani ya nyumba hizo.Baadhi ya wafanyabiashara wakiokota baadhi ya vitu vyao vilivyovunjika wakati wa zoezi.
6.Harakati za kuokota vifaa vyao vilivyovunjiwa kwenye nyumba hizo zikiendelea.….Wakiendelea kuokota baadhi ya vitu.
7..Baadhi ya wakazi wa eneo hilo wakionekana kushauriana jambo.… Wakionekana kushauriana jambo.
8.Friji nazo zikionekana zikiwa zimevunjiwa kwenye nyumbz hizo zilizobomolewa.Friji zilizovunjika wakati wa bomoabomoa.
9.Majadiliano yakiendelea kwa waliovunjiwa nyumba hizo.Wahanga wa tukio wakijadiliana.
10....Harakati za kuokota bidha zilizovunjiwa humo zikiendelea.Mhanga wa ubomoaji akiokotoza kilichobakia.
11.Baadhi ya vyombo vilivyookolewa vikiwa pembezoni mwa barabara.Muonekano wa baadhi ya vyombo vikiwa barabarani baada ya bomoabomoa.
12.Baadhi ya vijana waliobomolewa nyumba zao wakionekana wenye huzuni.Huzuni ikiwa imetanda kwa baadhi ya vijana waliobomolewa nyumba zao.
13.Hali halisiHali halisi ilivyokuwa kufuatia ubomoaji huo.

NYUMBA zilizopo katika Manispaa ya Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam maeneo ya (TRA) Mwenge kupitia barabara ya Afrika Sana zimebomolewa na tingatinga kwa madai ya kuwa eneo hilo ni hifadhi ya barabara na tayari manispaa ilikuwa imekwisha kutoa taarifa (notice) ya kuondoa eneo hilo.

Kamera yetu imenasa matukio yanayoonesha tingatinga likibomoa nyumba hizo huku baadhi ya vitu vya wamiliki wa nyumba hizo vikionekana kuvunjika.

(Na Denis Mtima./GPL)

Leave A Reply