BAADHI ya wakazi wa Kimara-Stop Over jijini Dar es Salaam leo walipatwa na taharuki baada ya bomoabomoa ya nyumba zilizojengwa katika hifadhi ya Barabara ya Morogoro ilipoanza leo mchana.
Waathirika wa tukio hilo waliozungumza na mtandao huu walitoa wito kwa Rais John Magufuli aingilie ili kusitishwa kwa zoezi hilo kwani walisema nyumba walizojenga sehemu hiyo zilikuwa haziko katika hifadhi ya barabara wakati huo.
NA DENIS MTIMA/GPL