The House of Favourite Newspapers

Bomu Laua 79 Baghdad

0

Bomu (2)

Zaidi ya watu 79 wamefariki dunia katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyokumba mji mkuu wa Iraq Baghdad.

Watu wengine 130 wamejeruhiwa vibaya katika mashambulio hayo yaliyodaiwa kutekelezwa na kundi la wanamgambo wa Kiislamu la Islamic State.

Bomu (3)

Bomu la pili lililipuka baadaye kaskazini mwa mji wa Baghdad.
Milipuko hiyo inatokea wiki moja baada ya wanajeshi wa Iraq kuukomboa mji wa Fallujah kutoka kwa Islamic State.

Bomu (1)

Kundi la Islamic State limedai kuhusika kwenye mashambulio hayo.

Credit: BBC

Leave A Reply