The House of Favourite Newspapers

ads

Bondia Karim Mandonga Apewa Zawadi ya Gari mpya Aina Subaru Impreza – Video

0

Bondia Karim Mandonga leo amefanikiwa kupewa zawadi ya gari mpya aina Subaru Impreza iliotolewa na Kampuni ya Mo Green International kufuatia ushindi wake wa pambano la Kenya dhidi ya Daniel Wanyonyi.

Mandonga amepewa gari hiyo muda mfupi uliopita kabla ya kuanza safari ya kuelekea Morogoro alipoandaliwa mapokezi ya nguvu mkoa huo.

Mandonga amekuwa bondia wa kwanza kupewa gari mbili ndani ya wiki kutokana na mafanikio aliopata katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini.

Leave A Reply