The House of Favourite Newspapers

Bonge la Ofa: Safiri Bure na Chapride Kila Wikiendi Jumamosi na Jumapili Ndani Dar

0

Wikiendi ishafika si ndiyo? Kwa nini sasa umekaa kinyonge? Chapride inakupa bonge la ofa itakayoifanya wikiendi yako iwe burudani! Unataka kwenda kula bata? Unataka kwenda shopping au kuwatembelea ndugu jamaa na marafiki?

Sikia hii! Chapride itakupeleka popote unapotaka kwenda ndani ya Jiji la Dar es Salaam BURE kabisa! Wewe sema tu unataka kwenda wapi na suala la kukufikisha tuachie sisi!
💥Kujiunga, download app ya Chapride kupitia Playstore au Appstore:
ANDROID:

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.chap.user
IOS:
https://apps.apple.com/gb/app/chapride/id6443669231

Simu:+255620817304

Leave A Reply