Boss Aliyewafyatulia Risasi Walimu, Polisi Wanamuogopa? MURO Akomaa – VIDEO

Mmiliki wa Shule za Usariva Academy Primary na Secondary Anayetuhumiwa kwa kosa la kuwafyatulia Risasi Watumishi wake ambao ni walimu waliokuwa wanadai kulipwa mishahara yao amekamatwa na kukutwa na Bunduki Tatu.

Akizungumza na Global Tv Mkuu wa Wilaya ya Meru, Jerry Muro, amesema kuwa uchunguzi wa umilikiji wa silaha hizo kama alikuwa anazimiliki kisheria Unaendelea.

Mmiliki huyo aliwafyatulia walimu wake Risasi Mnamo Januari 8, mwaka huubaada ya walimu hao kugoma na kushinikiza kulipwa mishahara yao

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Loading...

Toa comment