The House of Favourite Newspapers

Bot Yabaini Ongezeko la Udanganyifu wa Miamala ya Kifedha

0

 

Benki Kuu ya Tanzania imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchini unaohusisha mwananchi kupokea taarifa hati au barua pepe inayodai kuwa uthibitisho wa malipo kupitia Swif na/ au mifumo mingine ya uhamishaji fedha

Mpokeaji anafamishwa kuwa fedha zimeingizwa  kwenye Benki au akaunti katika taasisi ya fedha nichini Tanzania wakati mwingine mpokeaji fedha anaelekezwa kulipa kiasi fulani cha fedha kuwawezesha kupata fedha hizo nyingi.

Hivyo Benki Kuu ya Tanzania inapenda kuutarifu umma kwamba taarifa hizo ni za kughushi na za kubuni, wananchi mnashauriwa kuwa waangalifu na kuacha kujihusisha na miamala hiyo ambayo kwa kawaida inalenga kuwatapele fedha

 

Pia wananchi mnakumbushwa kuzingatia kanuni bora za kufanya maiamala ya fedha ili kuepuka upotevu wa fedha.

Leave A Reply