Brand Outlet Supplies Waja na Diapers za Kisasa Halisi Zinazotunza Mazingira
Kampuni ya Brand Outlet Supplies ya jijini Dar imekuja na mapinduzi mapya baby diapers (nepi) bora aina ya Pure Born ambazo ni za kisasa halisi na zinzzotunza mazingira ambapo mtoto ataweza kuzivaa kwa zaidi ya saa kumi na mbili.
Hayo yamesemwa leo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Johra Aljabry alipokuwa akizungumza na wanahabari leo kwenye Maonesha ya Biashara ya Kimataifa maarufu Sabasaba yanayofanyika jijini Dar.
Johra amesema diapers hizo zilizo aina tofauti kulingana na mahitaji ni bora kabisa na hii ndiyo mara ya kwanza kutangazwa kwenye maonesho haya.
Alimalizia kwa kusema wanapatikana Ilala Sharif Shamba jijini Dar na kwenye website wanapatikana kwa www.pureborn.com