Kartra

Breaking: Asukile wa Prisons Afungiwa Mechi Tano na Faini

NAHODHA wa kikosi cha Tanzania Prisons, Benjamin Asukile amefungiwa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) michezo mitano na faini ya shilingi 500,000, (laki tano).

 

Kwa mujibu wa taarifa ambayo imetumwa na TFF kupitia Ofisa Habari wake Clifford Ndimbo imeeleza kuwa TFF ilipitia ripoti mbalimbali za michezo ya Kombe la Shirikisho , (Azam Sports Federation Cup) baada ya kumalizika raundi ya tano ikiwemo mchezo namba 094 kati ya Tanzania Prisons v Yanga.

Taarifa hiyo imeeleza namna hii:-


Toa comment