The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Baada ya Kuhamia CCM, Msaidizi wa Mbowe Aanika Mazito – Video

ALIYEKUWA Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe ambaye ni Diwani wa Kata ya Temeke, Bernard Mwakyembe ameeleza mambo kumi yaliyomfanya kutoa CHADEMA na Kwenda CCM.

 

Mwakyembe amesema kuwa sera za CCM zimetekelezwa kwa kiasi kikubwa tangu Rais Magufuli alivyoingia madarakani huku nchini ikiwa na maendeleo. hata hivyo Mwakyembe amesema ameyaona yaliyofanywa na Rais Magufuli ambayo wengine hawayaoni.

VIDEO: MSIKIE MWAKYEMBE AKIFUNGUKA

Comments are closed.