Breaking: Balozi Kijazi Afariki Dunia

#TANZIA: Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametangaza kifo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Eng. Dkt. John Kijazi kilichotokea leo Februari 17, 2021 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma alipokuwa akipatiwa matibabu.


Toa comment