The House of Favourite Newspapers

BREAKING: CAG ATINGA BUNGENI KUJIBU MASHTAKA YAKE – VIDEO

Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad leo Januari 21, 2019 ameitikia wito wa Spika Job Ndugai na kufika mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kufuatia kauli anayodaiwa kulidhalilisha Bunge aliyoitoa akiwa nje ya nchi kwa kusema ‘Bunge ni dhaifu’.

Wanahabari wakiwa katika viwanja vya Bunge baada ya kutolewa ndani kufuatia Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Assad kuitikia wito wa Spika Ndugai na kufika kuhojiwa mbele ya Kamati ya Bunge juu ya kauli yake inayodaiwa kulidhalilisha bunge.

 

 

 

 

Comments are closed.