Kartra

Breaking: Carlinhos Avunja Mkataba na Yanga, Asepa

 

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga, Carlos Sténio Fernandes Guimarães do Carmo maarufu kama Carlinhos amevunja mkataba na klabu yake ya Yanga na kurejea nchini kwao Angola huku sababu za kifamilia zikitajwa kuwa chanzo cha nyota huyo kuomba kuvunja mkataba.

 

Taarifa zaidi tutakueletea hivi punde!


Toa comment