The House of Favourite Newspapers

BREAKING: CHADEMA Walipuka Kuibiwa KURA “Hatukubali Matokeo”

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema kuna kasoro nyingi zimejitokeza katika vituo vya kupigia kura kwenye uchaguzi Mdogo wa jimbo la Ukonga.

 

Akizungumza na waandishi wa habari Mnyika amedai kuna baadhi ya mawakala wamezuiwa kuingia kwenye vituo vya kupigia kura bila kupewa sababu. Mnyika ameongeza kuwa wananchi wanapaswa kuyapinga Matokeo hayo kwani tayari yameshapikwa.

Comments are closed.