BREAKING: CHADEMA Watoa Tamko Juu ya NASARI Kuhamia CCM – Video

Kufuatia taarifa zilizokuwa zimeenenea kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii juu ya kujiuzulu kwa Mbunge wa Arumeru Mashariki (CHADEMA), Joshua Nassari kwa kuunga mkono juhudi za Rais John Magufuli na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi, CHADEMA wametoa tamko kuhusu tetesi hizo.

VIDEO: MSIKIE HAPA KATIBU WA CHADEMA MKOA WA ARUSHA AKIZUNGUMZA

Toa comment