Breaking: Kocha wa Simba Abwaga Manyanga

UONGOZI  wa Klabu ya Simba umetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu, Sven Vandenbroeck,  kwa makubaliano ya pande mbili.

Nafasi ya Sven itakaimiwa kwa muda na kocha msaidizi wa Simba, SelemanI Matola, mpaka atakapotangazwa kocha mwingine.

 Tecno


Toa comment