The House of Favourite Newspapers

BREAKING: KOTEI WA SIMBA ASAJILIWA KAIZER CHIEFS YA SAUZI

Aliyekuwa mchezaji wa Simba SC, James Kotei,  akiwa ndani ya jezi ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini.

KLABU ya Kaizer Chiefs ya Afrika ya Kusini inayoshiriki katika Ligi Kuu nchi hiyo imethibitisha kupitia akaunti yake ya Twitter leo Juni 26, 2019,  kumsajili kiungo wa Ghana aliyekuwa anakipiga klabu ya Simba SC, James Kotei.

Kiungo huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu kuitumikia klabu hiyo.

Ujumbe huo wa Twitter ni huu hapa:

Comments are closed.