The House of Favourite Newspapers

Breaking: Mahakama ya Congo Yamtangaza Felix Tshisekedi

Felix Tshisekedi mshindi wa uchaguzi wa rais Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Mahakama ya kikatiba ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo mapema leo Jumapili, imemtangaza Felix Tshisekedi kuwa mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika mwezi uliopita, tarehe 30 Desemba. Hata hivyo, Martin Fayulu amejitangaza kuwa Rais halali wa Congo.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.