BREAKING: Makonda Atoa Maagizo Sakata la Mwendokasi Kimara – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezungumza na wananchi wa maeneo ya kimara na Mbezi jijini Dar es Salaam wanaotumia usafiri wa mabasi yaendayo haraka baaa ya kutokea adha kubwa ya usafiri huo kwa muda mrefu sasa.

Makonda ametoa ruhusa kwa abiria wa mabasi ya mwendokasi kupiga picha kwenye vituo vya mabasi hayo, ili kuwafichua watendaji wavivu na wanyanyasaji. Amesema wakishapiga picha waziweke kwenye mitandao, kisha serikali itaziona na kuzifanyia kazi.

Loading...

Toa comment