The House of Favourite Newspapers

Matokeo ya Kidato cha Nne 2022 Yatazame Hapa

0

 

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Januari 29, 2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja la tatu na daraja la nne.

NECTA pia imefuta matokeo yote ya watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao.

Matokeo hayo yamefutwa kwa mujibu wa kifungu cha 5 (2) (I na J) cha Sheria ya Baraza la Mitihani
sura ya 107 kikisomwa pamoja na kifungu cha 30 (2) (b) cha kanuni za mtihani mwaka 2016.

Kutazama matokeo yote, bofya hapo chini

MATOKEO YA KIDATO CHE NNE 2022

 

 

 

Leave A Reply