Breaking: Metacha Ameondoka Yanga? – Video
HIVI punde kumeibuka sintofahamu kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram kufuatia kusambaa kwa posti inayoonesha imepostiwa na golikipa wa Yanga, Metacha Mnata, iliyobeba ujumbe wa kuwaaga wana Yanga kuwa anaachana rasmi na timu hiyo.