Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba moto mkubwa ambao chanzo chake hakijafahamika umezuka ghafla na kuteketeza nyumba maeneo ya Kigamboni ambapo raia wema waliwahi kutoa taarifa kwa jeshi la zimamoto na uokoaji ambalo limewahi kufika eneo la tukio na kuanza kuuzima moto huo.

